Kwa wenye uhitaji wa kufanya safari za kwenda Marekani kwa sasa itawabidi wajitathimini kwa undani na mambo wanayofanya au kusema kwenye mitandao ya kijamii. Ingawa Marekani ni taifa linaloheshimu sana uhuru wa maoni ila haitashangaza kama tweet au post moja ya mitandao ya kijamii uliyoongea dhidi ya Marekani kusababisha mtu mmoja anayehakiki data hizo kuamua kukunyima VISA.
Kwa nini sasa hivi?Inaonekana Marekani wanachukua hatua nyingi zaidi za kuhakikisha wanachuja sana suala la watu kuingia nchini mwao. Utaratibu huu sio mpya ila zamani ulikuwa ni hitaji kwa watu wanaotoka kwenye mataifa yenye ugaidi tuu.
0 Comments
Leave a Reply. |
tos
Welcome to our news feed Categories
All
|